Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: AUDIO: Kwanini Zitto Kabwe amegoma kupost toka Oct 21?
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > AUDIO: Kwanini Zitto Kabwe amegoma kupost toka Oct 21?
Mix

AUDIO: Kwanini Zitto Kabwe amegoma kupost toka Oct 21?

November 23, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Zitto Kabwe ambaye ni mbunge wa Kigoma mjini ni moja kati ya viongozi ambao wamekuwa mara nyingi wakitumia vyema mitandao ya kijamii katika kuhabarisha jamii kuhusu mambo mbalimbali yakiwemo ya kiutendaji lakini ni muda mrefu sasa umepita hatujamuona Zitto Kabwe akiandika chochote kupitia account zake.

Millardayo.com imempata kwenye exclusive interview ili kuzungumzia sababu za ukimya wake 

‘Ni uamuzi ambao niliamua kuufanya baada ya kutofurahishwa na muswada wa habari ambao sasa ni sheria ya habari ambayo naiona ni sheria ambayo inaenda kubana uhuru wa watu kutoa maoni yao, nilitaka wananchi waendeleze pale nilipoishia ingawa nitarudi tena kwenye social media‘ –Zitto Kabwe

‘Sheria hii itaweza kuwadhibiti wanahabari na tasnia kwa ujumla wake, kama ikitumika vibaya inaweza kupelekea idadi kubwa ya wanahabari kutofanya hiyo kazi tena kwakuwa watatakiwa kuandikishwa na serikali‘ –Zitto Kabwe

‘Mimi wito wangu kwa serikali ningewasihi katika uandikaji wa kanuni wahakikishe yale makosa ambayo yamo ndani ya sheria yanarekebishwa ili kuweza kupata sheria ambayo utekelezaji wake hautowabana sana wanahabari pamoja na wananchi wengine wanaofanya kuhabarishana‘ –Zitto Kabwe

Ni kweli sheria hii imempa hofu Zitto mwenyewe hadi asipost chochote?>>>’Sio mimitu bali mtanzania yeyote kwasababu sasa hivi kupitia mitandao ya kijamii mtu yeyote anaweza kuwa mwanahabari lakini baada ya sheria kupita itakuwa ni mtu aliyeandikishwa pekee ndio ataruhusiwa kufanya kazi ya habari kwahiyo mimi imenitia hofu kwakuwa huwa naandika makala‘ –Zitto Kabwe

‘Sheria inataja social media lakini sheria hiyohiyo haionyeshi ni kifungu gani kinahusiana na social media, nilisimama kwenye bunge kupinga vitu kama blogs na social medias zisiingie kwenye huo mtego lakini baadhi ya mazaziri wakasema ni lazima iendelee kuwepo‘ –Zitto Kabwe

Unaweza kuendelee kumsikiliza Zitto Kabwe hapa chini…..

ZITTO KABWE ALIPOSIMAMA BUNGENI KUPINGA MUSWADA WA HABARI

You Might Also Like

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

Jennifer Lopez asherehekea miaka 15 ya mapacha wake, aonyesha muonekano wake mpya

TAGGED: ACT Wazalendo, habari daily, Zitto Kabwe
Admin November 23, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: ‘Katika watu ambao hamtaingia mbinguni ni watu wa ardhi’- RC Makonda
Next Article TOP 10 NEWS: Kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania leo November 23, 2016
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?