Unaambiwa sekunde ya 24 tu baada ya mchezo kuanza refa wa kimexico Marco Rodríguez aliitumia kadi yake nyekundu kwa kumtoa mchezaji nje ya uwanja.
Historia iliandikwa wiki iliyopita katika mchezo wa Copa Libertadores katika mchezo kati ya timu kutoka Colombia Atletico Nacional dhidi ya timu kutoka Uruguay Nacional, ambapo mchezaji wa Atletico Nacional Alejandro Bernal kutolewa kwa kadi nyekundu katika sekunde ya 24 tangu mechi ianze baada ya kumkanyaga mchezaji wa Maximiliano Calzada. Kadi hiyo imetengeneza rekodi ya haraka zaidi katika historia ya michuano hiyo.
Unaweza kucheck tukio hilo hapa kupitia hii video.
)