Mix

PICHA 10: Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Mbonea Wilson Kabwe

on

Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam, Marehemu Wilson Kabwe ulisafirishwa kwenda Same Mkoani Kilimanjaro kwa Maziko, May 25 2016 mazishi yalifanyika ambapo shughuli hiyo ya mazishi ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Waziri wa nchi ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za mikoa na Serikali za mitaa ‘ Tamisemi’ George Simbachawene, Mkuu wa Mkoa wa Kililmanjaro Said Mecky Sadick na msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka

.

.

.

.

.

.

.

Christopher Ole Sendeka,  Said Mecky Sadick na George Simbachawene

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

MANENO YA MSEMAJI WA CCM KWENYE MAZISHI YA WILSON KABWE

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments