Michezo

Mtoto wa staa wa soka nae ni staa yani !

on

kai5Kuna ule msemo unaosema ‘mtoto wa nyoka ni nyoka’.. mtoto wa mwanasoka anayefanya vizuri kwenye soka la Kimataifa, mshambuliaji kutoka Manchester United, Wyne Rooney ambaye anaitwa Kai kuna dalili zote kwamba hayuko njia tofauti na anayopita baba yake.

kai

Kai akisaini autograph ya shabiki wa Manchester United

Katika mchezo wa Jumapili March 15 uliokuwa kati ya Manchester United na Totternham, Kai ambaye aliongozana na baba yake uwanjani alijikuta akipata umaarufu wa aina yake, mama mmoja fan wa Man U alimuomba mtoto huyo amsainie autograph yake kama ambavyo huwa wanasign mastaa  wengi wakikutana na fans wao.

kai2

Mtoto huyo ana umri mdogo lakini alisaini autograph hiyo na mama huyo alionekana pia kufurahia.

kai4

kai3
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments