Habari za Mastaa

Kajala kafunguka kwa uchungu video za mwanae, asema chanzo ni Hamisa

on

Mwigizaji Kajala amedai Hamisa Mobetto ni chanzo cha video Chafu za mtoto wake na msanii Rayvanny, aeleza Hamisa alimchukua mtoto wake na kwenda kumkutanisha na Rayvanny ambapo anadai walimnywesha pombe na kumrecord video.

Bonyeza PLAY hapa chini kupata taarifa kamili.

Soma na hizi

Tupia Comments