Ad

Top Stories

Kakakuona aonekana Manyara,awekewa silaha,Rais Samia atajwa(+video)

on

Mnyama aina ya kakakuona ambaye amekuwa sio rahisi sana kuonekana ameonekana katika kijiji cha Masakta kilichopo wilaya ya Hanang mkoani Manyara,ambapo kwa mujibu wa wazee wa zamani waliomuwekea vitu mbalimbali kwa lengo la kubashiri aliweza kuonyesha ishara ya mafanikio ikiwemo fedha.

ASKOFU SHOO AMZUNGUMZIA RAIS SAMIA, RC MGHWIRA “BILA KUVUNJA KATIBA”

Soma na hizi

Tupia Comments