Habari za Mastaa

Hiki ndicho kilichojiri kwenye sherehe za miaka 5 ya Club Kakala Kigamboni.

By

on

3January 25 Wananchi wa Dar es salaam wakiongozwa na wale wa Kigamboni waliparty kwa pamoja ndani ya Club Kakala,sherehe hizi zilienda sawa pamoja na show ya iliyofanywa na Rich mavoko kwa mara ya kwanza Kigamboni.

8Mbali na show hiyo kulikuwa na wageni mbalimbali walioalikwa akiwemo Tundaman na Director wa Video za Kibongo Abby Kazi,hizi ni baaadhi ya picha zikionyesha kilichohappen Kakala.

2 1

6
10

7

 

4

 

Tupia Comments