Habari za Mastaa

Kalapina kaguswa na kazi ya Rais Magufuli… karekodi huu wimbo unaitwa ‘Magufuli Balaa’ (+Audio)

on

Aliyekua mgombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT Wazalendo na msanii wa Hiphop Tanzania, Kalapina ameamua kutumia zaidi ya saa 48 kuingia studio na kuandika wimbo unaomuhusu Rais Magufuli… nimefanikiwa kuunasa mtu wangu unaitwa ‘Magufuli balaa‘, umetengenezwa na producer Dunga wa 41 Records.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments