Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jana ndio ilikua siku ya Kalapina kupigana ulingoni, unajua nini kilitokea?
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Jana ndio ilikua siku ya Kalapina kupigana ulingoni, unajua nini kilitokea?
Habari za MastaaSports

Jana ndio ilikua siku ya Kalapina kupigana ulingoni, unajua nini kilitokea?

January 1, 2014
Share
2 Min Read
SHARE

DSC_0033Yaweza kuwa ni nafasi ya wasanii wa Tanzania kujaribu upande wa pili wa maisha yao kwenye utafutaji pesa manake msanii Kalapina toka block41 Kinondoni Kikosi cha Mizinga ameamua kuangalia upande wa pili ambao ni masumbwi a.k.a ngumi za kulipwa.

DSC_0038December 31 mkesha wa kuukaribisha mwaka 2014 umeingia kwenye headlines upande wa Kalapina baada ya mpinzani aliyekuwa apigane nae usiku huo kutotokea kwenye pambano hilo na kufanya millardayo.com kufanya interview na Kalapina baada ya kushuka jukwaani ili kujua imekuaje.

DSC_0053Kalapina anasema ‘mpinzani wangu alikuwepo na alipima siku ile lakini nafikiri jina limemtisha na historia yangu ya mtaa imemtisha ameogopa na kweli leo ningefanya mambo makubwa kwenye ulimwengu wa ngumi, ningeacha historia nilijiandaa huyu mtu aondoke na machela’

DSC_0050‘kama nilivyotangaza pale mapromota mi nipo tayari sasa hivi nipo tayari kufa nipo tayari kupambana mi nimeingia kwenye ngumi rasmi sasa hivi, kupigana ni sehemu ya maisha yangu na bondia atakayejitokeza kupigana na mimi nitampigia saluti’ – Kalapina

DSC_0045‘Taarifa ya kutokuwepo mpinzani wangu kwenye mpambano sikuwa nayo mapema hadi napanda pale jukwaani nilikuwa na uhakika mpinzani wangu yupo na tunapigana, mimi sibipiwi ukinibipu nakupigia…… taarifa hii imfikie’ – Kalapina

DSC_0036‘Kwa sasa hivi namtaka Japhet Kaseba namtaka na Mchumia Tumbo maana wanaongeaongea sana hawa, kama Mchumia Tumbo anajifanya hana mpinzani wakati wapinzani tupo’.

Kwenye hili pambano la Kalapina alitakiwa kuzichapa na Bahati Mwafiyale ambae aliitwa mara kumi na hakutokea jukwaani hivyo Kalapina akapewa ushindi aisee.

You Might Also Like

Imani Kajula CEO mpya Simba SC

Winga wa Kimataifa Trossard amejiunga Arsenal

Live: Ally Kamwe akabidhiwa simu ya gharama na Rais wa Yanga Eng.Hersi

Arsenal yamsajili Trossard

Usain Bolt atapeliwa Bilioni 29, fahamu mapya yaliyoibuka

Millard Ayo January 1, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Huyu ndio staa mwingine wa hiphop duniani aliekitumia kiswahili tena.
Next Article J Martins ameumaliza mwaka 2013 kwa kujinunulia hili gari aisee
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?