AyoTV

VIDEO: Ni kweli Rais Magufuli anakataa ushauri? Mzee Makamba kafunguka

on

Leo July 23 2016  Mjini Dodoma unafanyika mkutano mkuu maalum wa CCM ambao ajenda yake kubwa ni ya kumchagua Rais Dk. John Magufuli kuwa mwenyekiti wa tano wa chama cha Mapinduzi ‘CCM’. Baada ya hotuba ya Mwenyekiti wa chama hicho Jakaya Kikwete, katibu mkuu mstaafu Yusuph Makamba alipata nafasi ya kuzungumza

ULIIKOSA HII MANENO YA JK KWA WALIOSEMA CHAMA KINGEMFIA 

Soma na hizi

Tupia Comments