AyoTV

VIDEO: Mbunge CCM ataka Heche aunganishwe kama Mhalifu namba moja

on

Headlines za issue ya Makinikia bado zimeendelea kuchukua nafasi kubwa katika Bunge la Jamhuri ambapo leo June 19, 2017 Mbunge wa Viti Maalum Jacqueline Ngonyani CCM ameiomba Serikali kumchukulia hatua Mbunge wa Tarime Vijijini John heche kwa tuhuma za kuhamasisha wapiga kura wake kwenda kuvamia migodini.

VIDEO: Alichozungumza Mbunge wa Rufiji ndani ya dk 10 kuhusu Bajeti Kuu 2017/18 

Soma na hizi

Tupia Comments