Waziri wa Habari Nape Nnauye, amemtaka yeyote ambaye anaamini aliibiwa kifurushi chake na kukuta kimeisha bila kukitumia, apeleke ushahidi na utafanyiwa uchambuzi kwa kutumia vifaa vya kisasa na kuweka hadharani ili kuonesha tatizo lilipo.
Kupitia ukura wake wa Twitter, Waziri Nape ameandika kwamba kulingana na malalamiko yaliyopokelewa hadi sasa tatizo limekutwa ni Watanzania kutokuwa na uelewa wa matumizi ya simu janja.
Waziri Makamba amjibu Msukuma ishu ya Umeme “Huo sio Ubunge, kupanda helkopta’