Habari za Mastaa

TRAILER:Kama unatafuta series ya kutazama msimu huu wenye Corona

on

Kama unatafuta series ya kutazama msimu huu wenye corona ambapo tunahimizwa kutulia ndani unaweza kuangalia hii series ya Money Heist ambayo time hii inaendelea mwendelezo ya Part 4.

Movie hiyo imeshaanza kuoneshwa Duniani leo April tarehe 3 kupitia mtandao Netflix

Soma na hizi

Tupia Comments