Top Stories

Kamanda aelezea The Cask Bar kuteketea Mwanza “Uchunguzi wa kina” (video+)

on

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza ACP Ramadhan Ngh’anzi amezungumza na Vyombo vya Habari katika tukio la kuungua moto kwa Bar maarufu mkoani humo ya The Cask inayomilikiwa na Mfanyabiashara Joel Makanyaga katika eneo la furahisha Rock City Mall.

 

Soma na hizi

Tupia Comments