Umuiya ya Kijeshi nchini Guinea imesema haipo tayari kumuachia Rais wa nchi hiyo Alpha Conde aliyewekwa kizuizini tangu alipopinduliwa Septemba 5, 2021 kuondoka katika nchi.
Kauli hiyo inakuja baada ya Ujumbe Jumuiya ya Kiuchumi ya Wanachama 15 wa Mataifa ya Afrika Magharibi kutua nchini humo kwa ajili ya kutatua hali ya sintofahamu nchini humo.
HALI ILIVYOKUWA GUINEA BAADA YA RAIS KUPINDULIWA “JESHI LASHIKILIA NCHI, ULINZI MKALI KILA KONA”
KAMANDA ALIEMPINDUA RAIS WA GUINEA MADARAKANI ALIWAHI KUWA MSAIDIZI WAKE