Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kamanda aliyempindua Rais wa Guinea madarakani aliwahi kuwa msaidizi wake
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Kamanda aliyempindua Rais wa Guinea madarakani aliwahi kuwa msaidizi wake
Top Stories

Kamanda aliyempindua Rais wa Guinea madarakani aliwahi kuwa msaidizi wake

September 7, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Ripoti kutoka nchini Guinea zinaarifu kuwa hatma ya Rais wa Nchi hiyo Alpha Condé haijulikani baada ya video ambayo haijathibitishwa kumuonesha akiwa mikononi mwa Wanajeshi, ambao wamehutubia Taifa hilo na kusemwa wamefanya mapinduzi.

Ikiwa ni siku kadhaa tangu Wanajeshi wa Guinea wamejitokeza katika runinga ya taifa wakithibitisha kwamba Rais Alpha Conde ameondolewa madarakani, katika hotuba iliyooneshwa kwenye televisheni, Wanaume waliovaa sare za kijeshi, bendera ya Guinea ikiwa nyuma yao wamelihutubia taifa wakijiita Kamati ya Kitaifa ya upatanisho na maendeleo.

Sasa mengine yaliyoibuka ni kwamba baada ya kuonekana kwa kamanda aliehutubia taifa hilo kumbe aliwahi kuwa msaidizi wa Rais huyo.

You Might Also Like

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

Edwin TZA September 7, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Tazama Petro wa CCM alivyowaacha hoi ukumbini, Rais Samia ahudhuria ibada ya ndoa yake (video+)
Next Article Gabo aipamba jezi ya Simba, asema “Matangazo yanatupa ubingwa”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?