Habari za Mastaa

Kamanda amjibu Harmonize “Ni mkosaji, wazibe mdomo, ni muongo ushahidi upo” (+Audio)

on

Baada ya kuwepo taarifa Harmonize kuzuiwa kufanya Jiji Mbeya, AyoTV na millardayo.com imemrafuta Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Ulrich Matei ambaye amesema Harmonize alikuwa nje ya muda alioomba.

MKE WA MENGI AFUNGUKA ANAVYONYANYASWA “WANAZUIA WATOTO KUONA KABURI, SITOKUBALI NIMECHOKA”

Soma na hizi

Tupia Comments