Top Stories

Kamanda asimulia Mtoto alietupwa shimo la choo “ndani ya chemba” (+video)

on

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kagera limefanikiwa kumuokoa Mtoto mdogo aliyetelekezwa na kutupwa kwenye shimo la choo ya Shule ya Msingi, Kamanda wa Zimamoto Kagera ameeleza hali ilivyokuwa.

STORI YA KWELI INAHUZUNISHA, KIFO CHA MATESO CHA MTOTO, WATU 23,000 WALIFARIKI, MISHIPA KUPASUKA

Soma na hizi

Tupia Comments