Top Stories

Kamanda asimulia ‘Mwarabu’ alivyojipiga risasi “alikopa milioni 100” (+video)

on

Mfanyabiashara wa Madini na Mbao katika Mtaa wa Ibala, Kata ya Uyole jijini Mbeya, anayefahamika kwa jina la Jonas Mahenge (52), amejiua kwa kujipiga Risasi mdomoni na kutokea utosini, baada ya kushindwa kurejesha mkopo Benki wenye thamani ya Tsh Mil 100.

DUUH MAMBO YA USWAHILINI, FOLENI CHOONI, UCHAWI KUBANIANA, ANAKUKOPA MBELE ANAKUSEMA

Soma na hizi

Tupia Comments