Top Stories

Kamanda shanna azikwa kijijini kwao,Rais Magufuli atuma ujumbe,RPC atoa machozi

on

Mwili wa aliyekuwa Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shana umezikwa nyumbani kwao katika kijiji cha Ikizu,wilaya ya Bunda Mkoani Mara.

Mazishi hayo ambayo yamehudhuriwa na watu mbalimbali ikiwemo viongozi ambapo kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Mwanza Jumanne Murilo alishindwa kujizuia nakuangua kilio wakati akimwelezea  marehemu alivyokuwa.
Rais John magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa mke wa marehemu na kuweza kutoa rambirambi ya shilingi million tatu.

 

LUGOLA AWAACHA HOI WATU MSIBANI “ALIKUWA PANDE LA MTU,MIMI NIKO VIZURI”

 

Soma na hizi

Tupia Comments