Top Stories

Kamati Kuu CCM yampitisha Dr Tulia Ackson kugombea Uspika (video+)

on

Kamati kuu ya Halmashuri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kimepitisha jina la Dr. Tulia Ackson kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea ufahamu taarifa kamili.

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments