Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kamati ya Bunge yabaini matumizi ya P2 yaongezeka
Share
Notification Show More
Latest News
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Kamati ya Bunge yabaini matumizi ya P2 yaongezeka
Top Stories

Kamati ya Bunge yabaini matumizi ya P2 yaongezeka

February 11, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Kamati ya Bunge ya masuala ya UKIMWI imebaini ongezeko la matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba kwa Wasichana hasa wenye umri kati ya miaka 10 – 24 ambapo licha ya kuwa na lengo la kuzuia mimba, matumizi ya vidonge hivi ambavyo vimekuwa vikiuzwa kwa bei ya chini imebainika yamechochea maambukizi ya virusi vya UKIMWI.

Kamati imeeleza kuwa baadhi ya Wasichana wamekuwa wakiogopa zaidi mimba kuliko maambukizi ya VVU na hivyo wamekuwa wakitumia vidonge vya P2 kama njia mbadala ya kuzuia mimba na kuacha kutumia condom ambazo zingewakinga dhidi ya maambukizi ya VVU, magonjwa ya ngono na hata hizo mimba zisizotarajiwa.

Ili kukabiliana na tabia hii Kamati imeshauri kwamba wakati wa kuuzwa kwa dawa hizi za kuzuia mimba (P2) ni vizuri zikauzwa pamoja na condom kwa lazima ili kuwawezesha Wasichana kuwa na tabia ya kutumia condom hizo bila ya kunyanyapaliwa kwani uzoefu unaonesha kwamba iwapo watakuwa na hizo kondomu basi Wasichana wengi watazitumia ili kupunguza maudhi na madhara ya dawa za kuzuia mimba.

You Might Also Like

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

Elon Musk kwa mara nyingine tena ndiye mtu tajiri zaidi duniani

TAGGED: Bungeni, Dodoma
Edwin TZA February 11, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Utata shahidi Kesi ya Mbowe mawakili wavutana (video+)
Next Article Maambukizi ya Ukimwi yashuka, kamati ya Bunge wameeleza haya
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Sports

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?