AyoTV

VIDEO: Mchango wa Serukamba kwenye Bajeti Kuu 2017/18 Bungeni leo

on

Story kubwa kwa sasa kutoka Bungeni Dodoma ni mapendekezo ya Wabunge kwenye Makadirio ya Mapato na Matumizi katika Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo leo June 15, 2017 Mbunge wa Kigoma Kaskazini Peter Serukamba alikuwa miongoni mwao ambaye amezungumza haya…

VIDEO: Maswali 9 ya papo kwa hapo aliyoulizwa Waziri Mkuu Bungeni 

Soma na hizi

Tupia Comments