AyoTV

VIDEO: Mambo 19 ya Mbunge Serukamba kumuhusu Rais Magufuli

on

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Peter Serukamba alisimama Bungeni leo April 27, 2019 kwa ajili ya kuchangia bajeti ya Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano ambapo kati ya vitu ambavyo hakuacha kuvizungumzia ni pamoja na mambo 19 ambayo Rais Magufuli atakumbukwa kutokana na ushiriki wake.

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: ‘Hatuwezi kukubali uhalifu uendelee, tutachukua hatua kali’-Naibu Waziri Masauni 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments