Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kampuni 15 za Misri zaweka kambi DSM “kujifunza mazingira” (+picha)
Share
Notification Show More
Latest News
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Kampuni 15 za Misri zaweka kambi DSM “kujifunza mazingira” (+picha)
Top Stories

Kampuni 15 za Misri zaweka kambi DSM “kujifunza mazingira” (+picha)

June 17, 2021
Share
2 Min Read
SHARE

Kampuni 15 kutoka nchini Misri zimekuja nchini Tanzania kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu wa wafanyabiashara wa Watanzania.

Akizungumza leo Mei 17 ,2021 wakati wa maonesho madogo ya bidhaa za kampuni hizo, Muwakilishi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara Edwin Rutageruka amesema lengo na dhumuni ya kampuni hizo kuja nchini ,ni kutaka kuona mazingira ya kibiashara nchini ili kupanua wigo wa soko la bidhaa baina ya nchi hizo mbili.

Amesema wafanyabiashara hao kupitia kampuni zao wamekuja na bidhaa mbalimbali ikiwemo  dawa binadamu, mbolea pamoja na kemikali mbalimbali.

Aidha amesema licha ya kampuni hizo  kutaka kujua watawezaje kuja kufanya biashara yao hapa Tanzania ni kwamba Watanzania  wanaweza  kunufaika sana ,hivyo ni wakati wa kuchangamkia fursa kwa kuzalisha kahawa ,na kupeleka  Misri.

Amezitaka kampuni zinazojishughulisha na utengenezaji vifungashio nchini kuchukua au kupata ujuzi wa kutengeneza vifungashio vilivyo bora na imara kwa maana wenzetu egypt vifungashio vyao viko vizuri na kwa ubora zaidi.

Ameziomba  kampuni hizo kutoka Misri kuja kuwekeza nchini kwenye maeneo ya viwanda  vya kutengeneza nguo.” Kama tunavojua upatikanaji wa ngozi hapa Tanzania ni wakutosha hivyo si mbaya kama wakifungua kiwanda cha uzalishaji mikoba au mabegi,viatu vya ngozi ,na hivyo kunufaika sote.”

Pia amewataka vijana kuchangamkia fursa ya kuwa hata mabalozi wa kusambaza bidhaa hizo.

You Might Also Like

Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA June 17, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mkwere amwaga Machozi Makaburini, ataja kauli ya mzee Matata ‘Aliniambia Hatoboi’
Next Article Mtoto Genius wa Darasa la 4 kafunguka ‘Nafundisha walionivuka Madarasa na umri’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
Top Stories September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023

You Might also Like

Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Sports

Update ya afya ya Christopher Nkunku aonesha video kutokea gym…

September 29, 2023
Sports

Man Utd wamethibitisha kurejea kwa Antony kwenye shughuli za kikosi cha kwanza

September 29, 2023
Sports

Nahodha wa Bayern Neuer arejea mazoezini miezi 10 baada ya kuvunjika mguu

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?