Siku ya Leo kampuni Asas kwa kushirikiana na kampuni ya Oryx wameweza kufanikisha kukabidhi msaada wenye thamani ya zaidi ya milion 70 kwa Waziri wa TAMISEMI na mbunge wa jibo la rufiji Mohamed Mchengerwa kwaajili ya wahanga wa mafuriko yanaendelea huko Rufiji mkoani pwani
Akizungumza wakati akipokea Masada huo Waziri mchenegerwa amewashukuru sana ASAS na Oryx kwa msaada huo huku akiwataka wananchi wengine kuendelea kuwatazama wananchin wa Rufiji kwa cicho lingine na kuendelea kuwasaidia kufuatia changamoto hiyo.
Aidha Waziri mchengerwa ameongezea kwa kuwaagiza mameneja wote wa mikoa kutoka na kufanya tathimini ya Barabara zote ambazo zimeharibika kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha Katika mikoa yao ili zijengwe.