Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kampuni maarufu “Puma”yatangaza Ushirikiano tena na Rihanna “Fenty X”
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Kampuni maarufu “Puma”yatangaza Ushirikiano tena na Rihanna “Fenty X”
Entertainment

Kampuni maarufu “Puma”yatangaza Ushirikiano tena na Rihanna “Fenty X”

March 2, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Watengenezaji maarufu duniani  wa nguo za michezo “Puma” walitangaza siku ya jana  kuwa kmwa sasa wanashirikiana na chapa ya mwimbaji  maarufu Rihanna ya Fenty.

Ingawa kampuni hiyo  haikutoa maelezo yoyote ya ziada juu ya muunganiko huo japo wadokeza kuwa “inakuja hivi karibuni.”

Tangazo hilo lilipokelewa na msisimko kutoka kwa mashabiki katika sehemu ya comment ya post hiyo kwenye page ya instagram iliyosema;

She’s back,” Amerudi,” post iliyo ambatana na logo za Fenty na Puma. .

Na wengi walio na ushirikiano na kampuni hiyo walionesha kuunga mkono kurejea kwa Rihanna, , “🔥🔥🔥🔥🔥.”

Rihanna (35) aliunganishwa kwa mara ya kwanza na Puma mnamo 2014 alipochukua kama mkurugenzi wa ubunifu wa chapa ya Ujerumani.

Wakati huo, Rihanna alifanya kazi na Puma kuunda na kubinafsisha mitindo ya kawaida ya Puma na pia kuunda mitindo mipya  ya kuongeza kwenye trendings ya bidhaa za Puma,kulingana na taarifa kwa vyombo vya habari.

Kama utakumbuka mwaka 2019, Rihanna alitangaza kuwa anajiunga na LVMH ili kuunda mtindo wake wa Fenty, na kuwa mwanamke wa kwanza mweusi kuongoza jumba la mitindo.

Rihana mwaka 2021 aliachana na chapa hiyo na kufungua kampuni ya nguo za ndani (Savage Fenty)    vipodozi pamoja na bidhaa za afya ya ngozi (FENTY skin).

Tangu  wakati huo, Rihanna amekuwa bilionea mdogo zaidi wa kike aliyejitengeneza Marekani na kwa sasa anatarajia mtoto wake wa pili na A$AP Rocky.

You Might Also Like

Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

July, 2022 hadi May, 2023 makosa makubwa ya jinai yameongezeka.

Cristiano Ronaldo kuondoka Al-Nassr adaiwa kuwasiliana na Real Madrid

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA March 2, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Walioguswa na mradi wa bomba la mafuta Nkomelo wakabidhiwa nyumba
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 2, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?