Michezo

Kampuni ya Umbro imedhamini Ndondo Cup 2021

on

Kampuni ya vifaa vya michezo ya Umbro Afrika Kusini imeingia ushirikiano na Clouds Media Group na Shadaka Sports Management wa kuidhamini michuano ya Ndondo Cup 2021 kwa kutoa jezi kwa timu zote shiriki 32, mipira ya mashindano na vifaa vya waamuzi.

Umbro ni kampuni ya vifaa vya michezo yenye makao makuu yake England na inazivalisha timu kama Al Ahly ya Misri, Zanaco ya Zambia, West Ham ya England na Timu za Taifa za Uganda na Ethiopia .

Soma na hizi

Tupia Comments