Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kampuni za gesi Ulaya kutii masharti ya malipo Urusi
Share
Notification Show More
Latest News
Kizz Daniel alivyopanda jukwaani na bendera ya Tanzania, Watanzania wamsamehe kwa yale yaliyotoke
August 13, 2022
Video: Hamisa Mobetto aonesha gari jipya alilonunuliwa na mpenzi wake
August 13, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022
August 13, 2022
Mauaji Moro: Mume amnyonga Mkewe na mtoto, Kaka wa Marehemu afunguka
August 12, 2022
TFF yatoa tamko ishu ya Yanga, Manara aibua lingine, “Uzembe wenu ila mkawa wepesi”
August 12, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Kampuni za gesi Ulaya kutii masharti ya malipo Urusi
Top Stories

Kampuni za gesi Ulaya kutii masharti ya malipo Urusi

April 29, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Baadhi ya makampuni makubwa ya nishati barani Ulaya yanapanga kutumia mfumo mpya wa malipo kwa usambazaji wa gesi ya Urusi uliopendekezwa na Kremlin gazeti la Financial Times liripoti siku ya Alhamisi.

Vyanzo vya habari vililiambia gazeti hilo kuwa wasambazaji wa gesi nchini Ujerumani, Austria, Hungary na Slovakia wanapanga kufungua akaunti za ruble katika benki ya Gazprombank nchini Uswizi.

Walisema kuwa mazungumzo kati ya wanunuzi wa Uropa na wasambazaji wa gesi wa Urusi Gazprom yameongezeka kadri muda wa malipo unavyokaribia.

You Might Also Like

Mauaji Moro: Mume amnyonga Mkewe na mtoto, Kaka wa Marehemu afunguka

Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA April 29, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mellow & Sleazy wakali wa Amapiano walivyoinogesha Groove Cartel (video+)
Next Article TANESCO wanafanya tathmini Bwawa la Nyerere
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kizz Daniel alivyopanda jukwaani na bendera ya Tanzania, Watanzania wamsamehe kwa yale yaliyotoke
Entertainment August 13, 2022
Video: Hamisa Mobetto aonesha gari jipya alilonunuliwa na mpenzi wake
Entertainment August 13, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022
Mix August 13, 2022
Mauaji Moro: Mume amnyonga Mkewe na mtoto, Kaka wa Marehemu afunguka
Top Stories August 12, 2022

You Might also Like

Top Stories

Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo

August 12, 2022
Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?