AyoTV

VIDEO: “Watakaotumia rushwa kuomba nafasi zao hawatarudi”-Rais Magufuli

on

Leo March 14 2017 Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi ‘CCM’ Taifa, Rais Magufuli amefunga semina ya viongozi na watendaji wa chama ambapo ameahidi kutorudisha majina ya watakaotoa rushwa wakati kuomba nafasi za uongozi kwenye chama. Bonyeza play hapa chini kutazama

FULLVIDEO: M/kiti CCM, Rais Magufuli akihutubia mkutano mkuu maalum Dodoma, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments