Top Stories

Kanali aliempindua Rais Conde, atoa msimamo mwingine “Halali ya watu wa Guinea”

on

Kikosi cha Jeshi kilichotangaza kuipindua Serikali ya nchi hiyo na kumkamata Rais Alpha Conde wamegomea Shinikizo la Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) ya kwamba Uitishwe Uchaguzi Mkuu baada ya miezi tangu yalipotokea mapinduzi. Hatua hiyo inakuja ikiwa si siku chache tangu wajumbe wa ECOWAS akiwemo Rais wa Ghana na Ivory Coast juhudi zao za kutaka kuondoka na Rais Conde kugonga mwamba

KAMANDA ALIYEMPINDUA RAIS WA GUINEA AWAGOMEA MARAIS JUMUIYA YA ECOWAS “CONDE HAONDOKI”

WANAJESHI WALIOMPINDUA RAIS CONDE, WAANZA KUWAPOKEA VIONGOZI MBALIMBALI

Soma na hizi

Tupia Comments