Top Stories

Kanisa la Mfalme aliedai kumfufua Kanumba lafungiwa Waumini “Hatusomi Biblia, tunalala topeni” (+video)

on

Leo November 19, 2019 Mkuu wa Wilaya Dkt. Philis Nyimbi amesitisha ibada katika Kanisa la Mchungaji Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi lililopo mtaa wa Iseni kata ya Butimba jijini Mwanza.

Uamuzi huo umetolewa baada ya malalamiko ya watu mbalimbali kuhusu ibada za Mhubiri huyo ambaye pia hujiita Mungu wa duniani.

MTANZANIA ANAELIPWA KWA KUCHOMA MAITI ZA WACHINA TANZANIA

Soma na hizi

Tupia Comments