Unadhani ni kwanini wanawake wengi huacha kujipenda baada ya kupata watoto? Majukumu yanakuwa mengi zaidi ama?
Nimekutana na video moja ya comedy kutoka +256 ya mtu wetu Kansiime Anne ambapo anaongelea sababu za kwanini wanaume wengi huamua kucheat wake zao na wanawake wengine baada ya kupata watoto… na kwenye kuitazama nimegundua kuwa kumbe warembo wetu wengi huacha kujipenda pale wanapobarikiwa na watoto! Je ni kweli?
Sijui kama huu ni ukweli kwa kila mrembo wangu mtaani ila utapenda kuzisikia dakika 4 za Kansiime akiongelea sababu za kwanini wanaume wengi husaliti wake zao kwenye ndoa. Binafsi imenichekesha nikaona nikusogezee na wewe pia mtu wangu.
Kuna ukweli wowote kwenye hii video!?
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.