Habari za Mastaa

VIDEO: “Watarajie ndoa, nishamtambulisha kwa wazazi wangu”- Whozu

on

Kwenye Exclusive interview na Ayo TV Mwimbaji Whozu amezungumza kuhusu mahusiano yake na video vixen Tunda na kuweka wazi kuwa tayari amemtambulisha kwa wazazi wake na watu wasubirie ndoa , Whozu pia amegusia ishu za kuachia kolabo alizofanya na wasanii wengine kutokea hapa hapa nyumbani Tanzania.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichozungumza Whozu.

VIDEO: “SIKUWA NA JAGUAR DUBAI, ILE PICHA NI KENYA” – LULU DIVA

Soma na hizi

Tupia Comments