Mix

Kanye West asogeza mbele tarehe ya kuachia ‘DONDA’ Album

on

Ni Headlines za Rapper kutokea Marekani  Kanye West ambae July 23, 2021 aliahidi kuachia album yake aliyoipa jina la Donda sasa ameahirisha na kuisogeza mbele.

Staa huyo amewaomba radhi mashabiki kutoachia album hiyo kama alivyoahidi na kusema ataiachia rasmi mwezi ujao Agosti 6, 2021.

Miongoni mwa collabo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki kutka kwenye album hiyo ni collabo yake na Rapper Jay Z huku mastaa  wengine watakaosikika kwenye Album ya DONDA ni pamoja na Playboi Carti, Baby Keem, Travis Scott, Jeremih, Vorry, Lil Durk, Roddy ricch, Marehemu Pop Smoke, Lil baby na Wengine wengi

VIDEO: UTANI WA MWIJAKU KWA MILLARD AYO WAKIFANYA SHOPPING KWENYE DUKA JIPYA LA MAX, PALM VILLAGE

Tupia Comments