Habari za Mastaa

Kim Kardashian ‘alivyomsurprise’ Kanye West kwenye Birthday yake…(Pichaz&Video)

on

kanye8

Jana jumatatu ilikua siku ya kuzaliwa ya Kanye West na alitimiza umri wa miaka 38.

kanye

Mke wake Kim Kardashian aliamua kumfanyia surprise kwa kumkodishia uwanja wa  Staples Center ambao ni uwanja wa basketball uliopo Los Angeles kwa siku nzima ya jana ili kujumuika na marafiki zake.

kanye2Kanye alitumia muda wake mwingi kucheza kikapu na marafiki zake wa karibu katika uwanja huo ambao  kwa mujibu wa mtandao wa E News Kim aliulipia kiasi cha dola 110,000.

kanye3

Baadhi ya watu wa karibu waliolikwa kwenye tafrija hiyo ni Justin Bieber, Tyga, Pusha T na John Legend ambaye alikua MC wa shughuli hiyo.

kanye5

Kim pia aliwalipa makocha wa Lakers kwa ajili ya kuchezesha mchezo huo pamoja na baadhi ya wasichana ambao waliongeza mvuto kwa kumshangilia mume wake muda wote.

kanye7

kanye12

kanye10

kanye13

kanye9

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments