Michezo

Kapombe bado yupo sana Msimbazi

on

Beki wa Simba SC na Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ameungana na wenzake John Bocco na Mohamed Hussein kuongeza mkataba mpya wa kuitumikia Simba SC.

Kapombe ni miongoni mwa wachezaji 7 wa Simba SC waliokuwa wanadaiwa kuwa mikataba yao inaisha Simba mwisho wa msimu wa 2020/2021.

Ibrahim Ajib na Meddie Kagere nao wanatajwa kuwa katika hatua za mwisho mikataba yao kumalizika, bado haijajulikana kama wataongezewa au la licha ya Kagere kuwa TOP Scorer wa club lakini kupata mida mchache wa kucheza katika kikosi kumekuwa kukiibua maswali mengi.

Soma na hizi

Tupia Comments