Top Stories

Karibu katika Maonesho ya Bidhaa za Viwanda za Tanzania December 5, 2019

on

Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia taasisi yake ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inapenda kukukaribisha kushiriki Maonesho ya Nne ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yatakayofanyika kuanzia tarehe 5 hadi 9 Desemba, 2019 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwl J.K. Nyerere (Sabasaba) uliopo Barabara ya Kilwa – Dar es Salaam.

Hii ni fursa ya pekee ya kuonesha na kuuza bidhaa toka viwanda vyetu vya Tanzania ikiwa ni pamoja na kujifunza teknolojia mbalimbali za kisasa kuhusu uzalishaji wa bidhaa.

Ili kujisajili pakua fomu kupitia tovuti yetu www.tantrade.go.tz Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0754265822 au tembelea ofisi zetu kwa taarifa zaidi. Wahi nafasi ni chache. Hakuna gharama kwa watembeleaji.

DC ATANGAZA WATOTO WANAOINGIA VIBANDA UMIZA WAKAMATWE

 

Soma na hizi

Tupia Comments