Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Katibu Mkuu CCM amuagiza haya RC wa Iringa, kuhakikisha kituo hiki cha Afya kimefunguliwa na kuanza kutoa huduma
Share
Notification Show More
Latest News
Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7
September 27, 2023
Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev
September 27, 2023
Nigeria: Polisi wamemkamata mwizi wa simu za mkononi akiwa na simu 890 alizoziiba.
September 27, 2023
Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi
September 27, 2023
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Katibu Mkuu CCM amuagiza haya RC wa Iringa, kuhakikisha kituo hiki cha Afya kimefunguliwa na kuanza kutoa huduma
Top Stories

Katibu Mkuu CCM amuagiza haya RC wa Iringa, kuhakikisha kituo hiki cha Afya kimefunguliwa na kuanza kutoa huduma

May 30, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Iringa Halima Dendegu kuhakikisha mpaka kufikia Julai Mosi mwaka huu kituo cha afya cha Banda Bichi kiwe kimefunguliwa na kuanza kutoa huduma kwa wananchi.

Aidha Chongolo amesema kufikia Julai Mosi atahakikisha Halmashauri ya Wilaya ya Iringa inakabidhiwa gari tatu ,mbili za kubeba wagonjwa na moja ya kufatilia shughuli mbalimbali ikiwemo ukaguzi.

Ametoa agizo hilo Mei 29,2023 alipokuwa akizungumza na wananchi baada ya kushiriki Mkutano Kwa Balozi wa Shina Na. 04  Kata ya Ifunda katika halmashauri ya wilaya ya Iringa, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku saba ya kukagua uhai wa chama na utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025.

Amesema haiwezekani Serikali ijenge majengo mazuri na yenye vifaa vya kisasa lakini hakuna huduma zinazotolewa kwa wananchi kitu ambacho hawezi kukubaliana nacho kama mtendaji mkuu wa chama.

Aidha Chongolo amemuagiza Meneja wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira vijijini Joyce Bahati kuhakikisha mpaka kifikia desemba 31,2023 maji safi na salama katika kata ya ifunda yanatoka ili wananchi wasiendelee kuhangaika kufata maji mwendo mrefu.

You Might Also Like

Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7

Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev

Nigeria: Polisi wamemkamata mwizi wa simu za mkononi akiwa na simu 890 alizoziiba.

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

Edwin TZA May 30, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article GSM Home wametuonesha bidhaa za ndani walizopunguza mpaka asilimia 60%, wahi sasa
Next Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 30, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7
Top Stories September 27, 2023
Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev
Top Stories September 27, 2023
Nigeria: Polisi wamemkamata mwizi wa simu za mkononi akiwa na simu 890 alizoziiba.
Top Stories September 27, 2023
Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi
Entertainment September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev

September 27, 2023
Top Stories

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

September 27, 2023
Top Stories

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

September 27, 2023
Sports

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?