Michezo

Katibu Mkuu wa KMC FC arudisha kwa jamii

on

Katika kuweza kuwa karibu na jamii Katibu Mkuu wa KMC FC Walter Harrison leo ametoa msaada wa vifaa vya michezo katika shule ya sekondari ya Mwika.

Vifaa alivyokabidhi Katibu Mkuu wa KMC ni pamoja na mipira ya football, mipira ya netball, jezi pamoja na taulo za kike (Pads) kwa akina dada, Walter ametoa vifaa hivyo Mwika High School iliyoko mkoani Kilimanjaro kama sehemu ya kurudisha kwa jamii ni shule aliyopata elimu yake ya secondary.

“Jambo muhimu sana la kuweza kukumbuka ulikotoka na ku-share kidogo ulichobarikiwa kwa wenye uhitaji zaidi ili nao waweze kusogelea ndoto zao”>>>Walter Harrison

 

Soma na hizi

Tupia Comments