Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
Share
Notification Show More
Latest News
Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka
September 27, 2023
Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi
September 27, 2023
Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7
September 27, 2023
Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev
September 27, 2023
Nigeria: Polisi wamemkamata mwizi wa simu za mkononi akiwa na simu 890 alizoziiba.
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
Top Stories

Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito

May 30, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Katibu wa Nec Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Sophia Mjema azungumza kuhusu mfumo wa M-Mama ambao umeanzishwa hapa nchini umesaidia kupunguza vifo vya akina Mama wajawazito wanapotaka kujifungua.

Mjema amesema hayo Mei 29,2023 alipokuwa akizungumza na wananchi baada ya kushiriki Mkutano Kwa Balozi wa Shina Na. 04  Kata ya Ifunda katika halmashauri ya wilaya ya Iringa akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa CCM ambaye yupo mkoani Iringa kwa ziara ya siku 7 ya kukagua uhai wa chama na utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM.

Amesema Mkoa wa Iringa ni miongoni mwa mikoa ambayo mwaka huu 2023 wanatarajia kuanza kuanza kwa mradi huo wa M- Mama ambapo utakwenda kusaidia wanawake wengi wajawazito ili wasipoteze maisha wakati wa kujifungua.

Amewakumbusha wananchi wa Ifunda kuendelea kujikinga na maambukizi ya Virusi vya ukimwi kwa kuwa mkoa wa Iringa takwimu zinaonyesha maambukizi yapo juu.

You Might Also Like

Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka

Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi

Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7

Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev

Nigeria: Polisi wamemkamata mwizi wa simu za mkononi akiwa na simu 890 alizoziiba.

Edwin TZA May 30, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Next Article GSM Home wametuonesha bidhaa za ndani walizopunguza mpaka asilimia 60%, wahi sasa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka
Top Stories September 27, 2023
Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi
Top Stories September 27, 2023
Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7
Top Stories September 27, 2023
Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev
Top Stories September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka

September 27, 2023
Top Stories

Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi

September 27, 2023
Top Stories

Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7

September 27, 2023
Top Stories

Nigeria: Polisi wamemkamata mwizi wa simu za mkononi akiwa na simu 890 alizoziiba.

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?