Habari za Mastaa

Ushindi wa Taifa Stars/ Ruby kupata mtoto/ Flaviana na Rihanna

on

Kutana na baadhi ya stories ambazo zimechukua headlines wikiendi hii hapa ambapo moja ya story kubwa ni Tanzania kuweka rekodi baada ya miaka 38 kupita ikiwa ni mara ya pili sasa kuingia kwenye mashindano ya AFCON 2019 baada ya Taifa Stars kushinda dhidi ya Uganda kwa kufunga magoli 3-0.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama full story. 

VIDEO: MAJIBU YA SHILOLE KWA WANAOSEMA HAJIWEKI KISANII ‘MNIKOME, NAPENDAGA MAISHA HAYA’

Soma na hizi

Tupia Comments