Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kauli tatu kutoka Ikulu ya Trump “anafanyiwa figisu”
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Kauli tatu kutoka Ikulu ya Trump “anafanyiwa figisu”
Top Stories

Kauli tatu kutoka Ikulu ya Trump “anafanyiwa figisu”

December 19, 2019
Share
1 Min Read
SHARE

Leo December 19, 2019 Hizi hapa ni kauli za Ikulu ya Marekani “Leo ndio kilele cha moja kati ya matukio ya kuaibisha ya kisiasa katika Baraza la Wawakilishi katika historia ya Taifa la Marekani, mashtaka yao ni ya uongo na hayana ushahidi kuthibitisha maamuzi ya kumpigia kura ya kumuondoa Madarakani Trump”– IKULU YA MAREKANI

“Wamarekani sio wapuuzi wa kukubali tabia hii chafu, wanaelewa usawa, mlolongo sahihi na uthibitisho wa kutosha unahitajika kabla Mwananchi yeyote wa Marekani hajatiwa hatiani na zaidi kabla ya kupiga kura ya kumuondoa Madarakani Rais aliyechaguliwa na Wananchi”-IKULU YA MAREKANI

“Rais anaamini kuwa Baraza la Seneti litarejesha hali ya kawaida,yenye Haki na mchakato wa Sheria, vyote hivyo vilipuuziwa ktk mjadala wa Baraza la Wawakilishi, yuko tayari kwa hatua zinazofuata, wala hana wasiwasi na anaamini hana makosa ila anafanyiwa figisu”-IKULU YA MAREKANI

WANAFUNZI WALIOSIMAMISHWA CHUO KIKUU CHA DSM KISA MIKOPO

You Might Also Like

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA December 19, 2019
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Alikiba na Christian Bella walivyozindua video ya wimbo wao mpya
Next Article Hatma ya Trump mikononi mwa Seneti, kiti cha moto
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?