Michezo

Kauli ya bondia Twaha Kiduku baada ya kupokelewa Moro “Sauti ilikauka” (Video+)

on

 Agosti 22, 2021 Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Twaha Kiduku amepokelewa kwa shangwe mkoani Morogoro baada ya kuibuka mshindi dhidi ya mpinzani wake katika pambano la uzito wa Kati lililochezwa usiku wa Agosti 21, 2021 jijini Dar es Salaam.

Hapa Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea ushuhudie namna wakazi wa Morogoro walivyojitokeza kumpokea Bingwa wao Twaha Kiduku.

MAPOKEZI YA BONDIA TWAHA KIDUKU MOROGORO BAADA YA KUMSHINDA DULLAH MBABE

 

Soma na hizi

Tupia Comments