Top Stories

Kauli ya Chadema baada tukio la Majibizano ya Risasi DSM, watoa neno kwa IGP

on

Chama cha Demokrasi na Maendeleo, CHADEMA kimetoa salamu za rambirambi kwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania kufuatia vifo vya Askari wakati wa majibizano ya risasi karibu na Ubalozi wa Ufaransa katika barabara ya Alhassan Mwinyi.

“ANGEKUWA HAI TUNGEFAIDIKA NAE KWA MAMBO MENGI, POLISI WAMETUMIA BUSARA NA KAZI KUBWA”—RC DSM

 

KAMA MOVIE:ASKARI ALIVYOPAMBANA NA MTU MMOJA ALIEKUWA AKIFYATUA RISASI OVYO DSM

RAIS SAMIA ANENA TUKIO LA MAJIBIZANO YA RISASI DSM “MTU HUYO AMEDHIBITIWA NA HALI NI SHWARI”

 

Soma na hizi

Tupia Comments