Habari za Mastaa

Kauli ya Diamond kuwa yeye ndio chanzo cha kufa kwa tuzo za Tanzania, mwijaku amjibu

on

Baada ya Diamond Platnumz kuhoji katika kituo cha Luninga cha BBC Swahili na kudai yeye ndio chanzo cha kufa kwa tuzo za KTMA.

Sasa Mtangazaji na mwanamitandao, Miwijaku ameibuka na kumjibu juu ya kauli aliyoitoa katika kituo hicho kikubwa.

Ayo TV & Millardayo.com imekuwekea hapa stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

Diamond Platnumz yuko Uingereza kwa ajili ya kuitambulisha Ep yake mpya iitwayo #FOA ‘First of All’.

Tupia Comments