Top Stories

Kauli ya kwanza Ndugulile baada ya kutenguliwa na Rais Samia

on

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kumtengua Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile, sasa leo ameyaandika haya kupitia ukurasa wake wa twitter.

Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea kile kilichoandikwa na Ndugulile baada ya kutenguliwa unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

ALIKIBA ALIVYOZITUMIA DAKIKA 3 MBELE YA RAIS SAMIA, SHANGWE KWA WANANCHI

Tupia Comments