Top Stories

Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu baada ya kufutiwa kesi, zitto akazia “Mbowe sio gaidi”

on

Maneno ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu leo baada ya Mahakama ya Kisutu kumfutia kesi namba 208 ya mwaka 2016 yeye na wenzake ambayo walikua wakikabiliwa na mashtaka matano ikiwemo kuandika habari za uchochezi kinyume na sheria ya Magazeti ya 2002.

Mahakama ya Kisutu imeifuta kesi hiyo baada ya Mkurugenzi wa mashtaka Tanzania (DPP) kusema hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa stori kamili unaweza ukabonyeza play.

KWA UKALI RC ATOA MAELEKEZO BAADA YA WANANCHI KUCHOMA MOTO MSITU “SIO MNAKAMATA TOZO ZA MKAA”

Soma na hizi

Tupia Comments