Top Stories

Kauli ya kwanza ya Waziri Ummy Mwalimu baada ya Ndugulile kutenguliwa

on

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amemshukuru Fautine Ndugulile, aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara hiyo kabla ya kutenguliwa kwa uteuzi wake, kwa ushirikiano aliompatia huku akikimkaribisha pia Naibu Waziri mpya Dr.Mollel.

“Asante Mh Faustine kwa Utumishi wako na ushirikiano mkubwa ulionipatia katika kusimamia Sekta ya Afya nchini, kila la heri katika kuwatumikia wana Kigamboni, Hongera Dr G. Mollel, Karibu Wizara ya Afya, naahidi kukupa ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yako”WAZIRI UMMY

JPM AMTEUA NAIBU WAZIRI MPYA WA AFYA, NDUGULILE OUT

Tupia Comments