Michezo

Kauli ya MO Dewji baada ya kuishuhudia Simba yake ikifungwa 1-0 (+video)

on

Mohammed Dewji baada ya mechi ya Simba na Yanga “Nawapongeza Yanga, suala la Simba kukosea tuache, nawapongeza Yanga Mungu awatangulie, ndio utani, nawapongeza kwa mpira mzuri, kwani mpira ni vita? “.

MAGUFULI ALIVYOINGIA UWANJA WA TAIFA NA ULINZI MKALI, SIMBA VS YANGA

Soma na hizi

Tupia Comments